"Kila penye uzito, kuna wepesi pia"

Wale ambao wako kwa sasa katika dhiki kubwa, lakini Mwenyezi Mungu Anaahidi kuwa kila dhiki itakuwa nyepesi.

"Rehma za MUNGU zimeenea katika kila kitu"

Wakati matumaini yote yanapoonekana kupotea, dhulma na uovu unapotawala, kumbuka aya hii nzuri juu ya Rehema za MUNGU.

"MUNGU yu pamoja nasi kila wakati"

Hata unapofanya dhambi, rehema ya Mwenyezi Mungu ni kubwa kuliko ghadhabu yake na yuko tayari kukusamehe kama utamsamehe. ombeni msamaha kwa Mwenyezi Mungu, Mwingi wa maghfira.

"MUNGU anajua kila kitu"

Mwenyezi Mungu anajua na yuko karibu nanyi. Daima unaweza kumjulisha Muumba wa walimwengu kama Yeye anaelewa hisia zote unazokabiliana nazo.

Kuhusu sisi

Al-madrasat nnujum iliyopo chini ya tasisi ya Tanzania annujum islamic centre (TANICE) ilianzishwa mwaka 1998. Taasisi hii ikishirikiana na ukaribu wa madrasa imeweza kusimamia ufundishaji ulio bora na kupelekea watoto 37 kuhitimisha juzuu 30 kwa moyo (kuhifadhi).

Upande wa taasisi wakishirikiana na madrasa wameweza kuwasimamia wanafunzi 400 wanaopatikana katika madrasa yetu. Upande wa taasisi imejikita katika kuendeleza kusimamia na kuzalisha wasomaji wa qur-an katika mkoa wa dar es salaam kwa miaka mingi.

Madrasat nnujum iliyo chini ya taasisi hii inao mchango mkubwa katika kulea wasomaji wa Qur-an hapa nchini. Taasisi ikishirikiana na madrasa siku zote ipo katika malengo na uboreshaji wa kuitangaza Qur-an nchini tanzania kwa muda mrefu sana

Taasisi kwa kushirikiana na madrasat imekuwa ikiweka na kusimamia malengo hayo ili kuendeleza miradi ya kusomesha,kuhifadhisha na kuandaa mashindano ya qur-an kwa vijana.Hayo yote ni kuikumbusha jamii umuhimu wa ulazima na kusimamia qur-an kuwa ni jukumu letu sote kwa pamoja kwa waliona hilo taasisi ikaamua kujikita katika utaratibu wa Qur –an kwa ujumla.

Ili taasisi iweze kufikia malengo haya hatuna budi kusaidiana na kushikiriana na taasisi za ndani na nje ya nchi ili kufikia malengo tuliyejipangia

TAASISI HII INAJULIKANA KAMA TANZANIA ANNUJUM ISLAMIC CENTRE (TANICE).

  • Misheni Kusimamia miradi na maendeleo ya taasisi

    Hii inahusisha mambo kadhaa kamavile; Kusimamia na kutafuta udhamini nje na ndani ya nchi, Kusimamia maadili ya vijana na wanafunzi katika taasisi , Kusimamia mashindano ya qur-an pamoja na kuendeleza vipaji vya wanafunzi walio chini ya taasisi na wengineo, Kuhakikisha upanuzi na uboreshaji wa taasisi katika hatua mbalimbali , Huduma na usimamizi wa taaluma na maadili , Kusimamia na kuthamini qur-an.

  • Hii ni pamoja na; Kuendesha na kuratibu semina za qur-an, Kuweka utaratibu wa kujiendesha kwa madrasa , Kuanzisha maktaba ya qur-an tanzania, Kuwa taasisi ya kitaifa ya usimamizi wa qur-an tanzania , Kuwa na vituo mbalimbali nchini vilivyo chini ya taasisi Kuboresha miundo mbinu katika madrasa nchini , Kuboresha hali ya kimaisha kwa walimu wa qur-an, Kusimamia maslahi ya madrasa nchini, Kuboreshwa hali za kimaisha kwa walimu wa qur-an,

  • Kuratibu na kuandaa watoto kushiriki katika mashindano mbalimbali ya ndani na nje ya nchi, Kusimamia misingi yote ya qur-an , Kuwa wasimamizi wa qur-an nchini, Kushiriki harakati za qur-an ndani na nje ya nchi,

Huduma

Ifuatayo ni orodha ya huduma ambazo taasisi hutoa.

Kusimamia Qur'an

Lorem ipsum, dolor sit amet consectetur adipisicing elit. Id eos impedit optio recusandae itaque. Fuga enim corrupti assumenda doloremque excepturi tempore voluptate molestias quis. Omnis vel incidunt ab nihil numquam?

Kusimamia Mashindano ya Qur'an

Lorem ipsum, dolor sit amet consectetur adipisicing elit. Id eos impedit optio recusandae itaque. Fuga enim corrupti assumenda doloremque excepturi tempore voluptate molestias quis. Omnis vel incidunt ab nihil numquam?

Kusimamia maslahi ya waalimu wa qur-an nchini

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit. Quae laudantium asperiores ratione veritatis, autem blanditiis corrupti explicabo omnis. Tenetur assumenda dolorum nesciunt est eum. In, maiores? Voluptate alias doloribus reprehenderit.

Kuendeleza Vituo na Madrasa nchini

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit. Quae laudantium asperiores ratione veritatis, autem blanditiis corrupti explicabo omnis. Tenetur assumenda dolorum nesciunt est eum. In, maiores? Voluptate alias doloribus reprehenderit.

UJUMBE


إِنَّ هَـٰذَا الْقُرْ‌آنَ يَهْدِي لِلَّتِي هِيَ أَقْوَمُ وَيُبَشِّرُ‌ الْمُؤْمِنِينَ الَّذِينَ يَعْمَلُونَ الصَّالِحَاتِ أَنَّ لَهُمْ أَجْرً‌ا كَبِيرً‌ا

Wasiliana nasi

Mahali:

P.O BOX 75948

MWEMBE MNOFU–KATA YA SANDALI

TEMEKE – DAR ES SALAAM